Tujilipue majina yetu maarufu kwenye vitabu vya Guest, Lodge, na Mahotelini

Tujilipue majina yetu maarufu kwenye vitabu vya Guest, Lodge, na Mahotelini

Siku ukifariki ghafla humo utatambulika Kama "UNKNOWN HUMAN REMAIN'' Utawapa Sana kazi nduguzo kuota ndoto za mang'amung'amu
Nina vitambulisho Og kwenye wallet kama vi4 vyote majina kamili na passport size jina la Facebook Instagram na Twitter hadi TikTok Niko full , Mzee wa Jopo, John Popaz nipo
 
Tuliwahi vamia pahala ukafanyika msako mmoja sijawahi ona.
😀😀😀😀😀😀😀
Nilikaa hiyo sehemu siku 33,nikiwa na majina halisi.

Aisee jamaa waliweka ndani nusu ya watu wote ya ile Lodge waliokuwa na ID na majina fake.

Ni kiwa kirefu sana,ambacho mpaka sasa hata ukosee jina langu sitokuelewa kamwe kuna huduma hizi zetu.
Simulia mwamba
 
Napendaga utaisikia Jopo la wanazuoni wa kiislamu najisikia sana nikiitwa Mzee wa Jopo a.k.a John Popaz
 
Utasikia wakiulizana Anko au brother Popaz katoka hajaacha oda ya msosi ? Mzee wa Jopo
 
Back
Top Bottom