tumeachagua wakawe wawakilishi wetu huko mjengoni. Sasa hawajaanza kazi tunataka kuanza kuwaingilia, na kuwapangia nini cha kufanya. Huo ndio utaratibu wa wapi?awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua jk kama rais halali wa jmt na kumtambua dr.slaa kama rais mteule wa jmt.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa chadema. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza jua kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli mbowe na my best rafiki mnyika as well as my role model tundu lissu.
tumeachagua wakawe wawakilishi wetu huko mjengoni. Sasa hawajaanza kazi tunataka kuanza kuwaingilia, na kuwapangia nini cha kufanya. Huo ndio utaratibu wa wapi?
Sisi wajibu wetu ni kutoa maoni yetu kama tulivyofanya. Kwa kuwa wao sasa ni full time parliamentalians wataangalia kanuni za bunge, sheria na hali halisi na kisha kuamua cha kufanya. Wakishafanya hivyo ni wajibu wetu kuwa na imani na uamuzi wao.
Mapambano yote yatafanyika humo humo ndani
tumeachagua wakawe wawakilishi wetu huko mjengoni. Sasa hawajaanza kazi tunataka kuanza kuwaingilia, na kuwapangia nini cha kufanya. Huo ndio utaratibu wa wapi?
Sisi wajibu wetu ni kutoa maoni yetu kama tulivyofanya. Kwa kuwa wao sasa ni full time parliamentalians wataangalia kanuni za bunge, sheria na hali halisi na kisha kuamua cha kufanya. Wakishafanya hivyo ni wajibu wetu kuwa na imani na uamuzi wao.
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza Jua Kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli Mbowe na my best rafiki Mnyika as well as my role model Tundu Lissu.
:nono: Tujiondoe CHADEMA?? Nani kasema?? :nono:
Taratibu usije na maamuzi ya kutuvuruga zaidi au umetumwa!??
nimeonge na zito mda mfupi uliopita(0713730256) na amethibisha kuwa hawataingia humo ndan