Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza Jua Kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli Mbowe na my best rafiki Mnyika as well as my role model Tundu Lissu.