Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Kwani huyu mstaafu akipewa hela yake yote Kuna
Hivi akilipwa hela yake yote Kuna tatizo gani
 
Hii ni laana wanaitafuta,siyo siri.
Haiwezekani mtu mmemalizana nae mkataba kisha uendelee kushikilia pesa zake kwa kigezo kumpangia matumizi.
Haikubaliki hata kidogo.
Mimi nasema serikali uamuzi wa kikokotoo ni kwa manufaa ya nani
 
Mama anauopiga mwingi sana apewe Tena mitano
 
Kuna mambo yanaumiza sana....hili moja wapo 😢
Acha kabisa. Watawala wanawachukulia wananchi kama Manyani tu, au ng'ombe. Maana ukija kwa wafanyabiashara nako ni shida tu! Wakulima nao kila siku ni kilio!!
 
Acha kabisa. Watawala wanawachukulia wananchi kama Manyani tu, au ng'ombe. Maana ukija kwa wafanyabiashara nako ni shida tu! Wakulima nao kila siku ni kilio!!
Kwenye mambo ya wananchi utasikia pesa hamna ila kwenye mambo yao wenyewe pesa ipo ya kutosha...ni kusafiri na misafara mireeefu watu wengiii na wote wanalipwa 🤔
 
Sio kweli Kwa mshahara wa m1.3 lumpsum ni 39M na pension Kila mwezi inakaribia hiyo 500k
 
Umeongea ukweli sana. Wabunge wa jiwe Kwa kuiba kura ni wapuuzi sana. Mungu atawahukumu Kwa laana kubwa Kwa vizazi vyao wote. Ni makatili sana na CCM ni janga Kwa Watanzania!
 
wakati huo mama anaupiga mwingi kwa safari zake zisizoisha
laiti hii kazi ninayoifanya sasa ingekuwaga kuna mtu alinishauri,
ningelimtafuta na kumpiga shaba.
ni kwamba tu ni kiherehere changu kusomea hii kazi kwa kuvutiwa na mavazi
Ikifika wakati wa uchaguzi wanaosaidia kuwapitisha watunga sheria hata wasiostahili si hawahawa wanaolalamikia kikokotoo!!! Wacha waendelee kukaangwa kwa mafuta yao wenyewe. Waliyataka wenyewe wanamlilia nani??!! Shauri yao na bado waongezewe moto labda watazinduka!!
 
huwezi ukatunga sheria halafu wewe ukajiexclude ,wabunge ni wahuni sana ,ni upuuzi walioufanya!! Naona kama hakuna haja ya kuwa na Bunge kabisa.
 
Yaani mtu aliyestaafu aendelee kufanya kazi kama mwekezaji?
 
Kuna mdada mmoja amelitumikia taifa hili kwa miaka 38, alipostaafu mwaka Jana walimpa 39,000,000/ mbunge anapata 18,000,000 kwa mwezi plus 230,000 +- kila aliingia kazini.
Kuna polisi alipewa chini ya milioni 30 ameshindwa kurudi kwao. Nasikia predeshee mtoto wa Kilwa road ataondoka na 20 M kwa mwezi.
Halafu Kuna wajinga watakwenda kumpokea Makonda Leo akikabidhiwa ofisi.
Halafu Kuna yule anayesema nanihii anaupiga kidogo.
 
Mleta mada ni mpumbavu amewalenga wabunge tu, halafu hao warumishi walikuwa wapi wakati huo mswada unapita bungeni mbona sikuwahi kusikia kuna kizuizi chochote ili mswada huo usipite nao ni mapumbavu kama kupunjwa aacha wapunjwe ni ujinga wao.
 
halafu hao watoto ndiyo nambari moja kusubiria hicho kikotoo lumpsum, wanagawana na mzee mstaafu na kuzitapanya bila ya kufanya lo lote la maana kwa asilimia kubwa. Matokeo yake yule mzee fedha zinakwisha bila ya kufanya la maana na anaishia kuwa ombaomba kwa hao watoto ambao wanakuja humu mitandaoni kulalamika kuwa wazee wao wanawasumbua kuwaomba fedha.
 
Mbona kwa kikokotoo cha zamani alipata lumpsum kubwa na bado akaendelea kupata monthly pension kubwa kulinganisha na sasa, rudisheni kikokotoo cha zamani acheni huu unyonyaji.​
niliwahi kumsikia Magu akisema serikali ilikuwa inawaongezea baadhi yenu wafanyakazi wa serikali mara nne zaidi ya ile michango yenu, na ndiyo mana wanapata fedha nyingi zaidi kuliko wafanyakazi wa taasisi nyingine wa mifuko kama ya NSSF na PPF.

Na hii imekuwa ikiwafaidisha zaidi akina katibu wakuu wastaafu.
 
That reminds me of our proverb Which says that " An Elephant 🐘 that swims in coconut oil doesn't use ATM to buy meat from the pharmacy.🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…