Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Inaonekana hujui maana ya kustaafu!

Hiyo nguvu ya kuwekeza kwenye miradi anatoa wapi!?

Mbona unajitoa ufahamu??

Sometimes haya mambo ndiyo yanasababisha wizi kwa watumishi wa umma!

Tsh 46M atawekeza nini kwa age ya 55 or 60 zaidi ya kumtafutia presha na kifo cha mapema??
 

Mkuu,
Jitahidi uwe unapata taarifa toka chanzo rasmi.

Hesabu za kikokotoo hazifanywi hivyo kama ulivyoandika wewe!
 
Acha kupotosha. Hizo nchi zina matatizo tofauti na bongo. Kwanza sisi viongozi waadilifu mno
 
Wewe ndiye mbumbu hujui. Kila mtu anakitu anafanya.
 
Weka clarifications zako sasa ili watu tuproove kwamba huyo jamaa yuko wrong na hicho kikotoo ni mkombozi kwa kila mtumishi wa serikali ya Tanganyika
Formula

[1/580]×N×APE×12.5×33%

Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
 
kupanga ni kuchagua,
fursa ya kubadilisha sheria na taratibu ipo wazi kabisa....

Hii ni sheria na ni lazima ifuatwe na kutekelezwa kikamikifu inavyostajhili mpaka pale itakavyo onekana kuna ulazima wa kuibadilisha na kua vinginevyo...

hata hivyo, utaratibu wa kuwasilisha mapendekezo ya mabadolilo ya sheria lazima ufuatwe, na maoni na mitazamo ya wadau lazima yakusanywe kwa weledi na kuchakatwa vizuri ili hatimae kuja na sheria mbadala na muafaka kwa maslahi mapana ya watumishi nchini.....

Tuendelee kuwaombea viongozi wetu wa inchi, ili mwenyezi Mungu awajaalie afya njema, hekima na busara katika kazi na majukumu yao mazito ya kuwatumikia waTanzania wote kwa haki, usawa na weledi....

Na sisi wananchi Mwenyezi Mungu atuzidishie hekima na busara tunapowasilisha maoni, mitazamo na malalamiko yetu dhidi ya uonevu au kasoro zilizopo kwenye sheria. Tuyawasilishe kwa upendo na upole ili yaweze kupokelewa vema na kufanyiwa kazi kwa weledi na wahusika...


R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Chawa wa mama kwa hili usitetee huu wizi, unaweza ukatueleza tusiojua. Kwanini mstaafu baada ya kulipwa ile asilimia 33 ya mafao yake, baadae alipwe kwa miaka 12 tu, hii imekaaje kwa maoni yako?
 
Chawa wa mama kwa hili usitetee huu wizi, unaweza ukatueleza tusiojua. Kwanini mstaafu baada ya kulipwa ile asilimia 33 ya mafao yake, baadae alipwe kwa miaka 12 tu, hii imekaaje kwa maoni yako?
Siyo wizi, pamoja na uchawa wangu wa kumtetea mwenyekiti wangu wa chama ila ukweli kikokotoo ni kizuri. Huyo mpumbavu kapiga mahesabu ya kijinga sana. Aacha kupotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…