Tujipe pole wana-Simba

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Mpira tumecheza ila bahati haikuwa upande wetu. Ubingwa tumeutema. Mnaonaje tukimrudisha Gomez au tumshauri mwekezaji wetu MO DEWJI amnunue Nabi kwa bei mbaya. Mpira ni hela. Mi naona hata lile goli la Feisal lilikuwa bao la kuotea vile.
 
Faini ya 23 m mlishalipa?
 
Mpira tumecheza ila bahati haikuwa upande wetu. Ubingwa tumeutema. Mnaonaje tukimrudisha Gomez au tumshauri mwekezaji wetu MO DEWJI amnunue Nabi kwa bei mbaya. Mpira ni hela. Mi naona hata lile goli la Feisal lilikuwa bao la kuotea vile.
Hivi bado mnachangia kujenga uwanja[emoji3][emoji3]Kanjibhai kawashika pabaya
 
Ukiwauliza zile bilioni 20 zilipo, utawasikia "zimetumika kusajilia kikosi kipana" 😁😁
 
Reactions: ram
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…