Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na kumlambalamba demu bila kumkojolea bao.Goli tiamaji tiamaji tu, mpira tumecheza kipindi cha pili
Faini ya 23 m mlishalipa?Mpira tumecheza ila bahati haikuwa upande wetu. Ubingwa tumeutema. Mnaonaje tukimrudisha Gomez au tumshauri mwekezaji wetu MO DEWJI amnunue Nabi kwa bei mbaya. Mpira ni hela. Mi naona hata lile goli la Feisal lilikuwa bao la kuotea vile.
Hivi bado mnachangia kujenga uwanja[emoji3][emoji3]Kanjibhai kawashika pabayaMpira tumecheza ila bahati haikuwa upande wetu. Ubingwa tumeutema. Mnaonaje tukimrudisha Gomez au tumshauri mwekezaji wetu MO DEWJI amnunue Nabi kwa bei mbaya. Mpira ni hela. Mi naona hata lile goli la Feisal lilikuwa bao la kuotea vile.
Ulitaka aanze nani pale kwenye benchi maana timu imejaa wazee tupuTattizo kocha,huwezi kuanza na kikosi kile
Ukiwauliza zile bilioni 20 zilipo, utawasikia "zimetumika kusajilia kikosi kipana" 😁😁Hivi bado mnachangia kujenga uwanja[emoji3][emoji3]Kanjibhai kawashika pabaya
Matokeo mikia amechomolewa kolomeo. Hilo la ngapi ngapi kawaulize mikiaMatokeo ngapi ngapi?
Kocha aliyewahi kuwa Real Madrid..!! Wewe vipi bwana.Dah yule coach tumepigwa[emoji23][emoji23]