marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Anaekukimbiza nae ni muhimu sana kwenye mashindano ndio maana wakasema usujisifu kukimbia msifu na anae kukimbiza.
Tumeshawapongeza mashujaa wetu kwa kufuzu ila lipo la kutafakari
Hapo awari hii muchuano ilikuwa inahusisha timu 16 yani wababe 16 wa Africa ndio walio kuwa wanaenda kukiputa kwenye michuano hii, na pia ukija kuanagalia kuna miamba iliyo fuzu toka mwaka Jana sisi Wa mwaka huu ni kama second selection au fungulia mbwaa !!
Kiuhalisia Soka la Africa limepanda ila sio kwa kuongeza Tim almost Mara mbili ya zile za awari
Wakati huo hii michuano ilikiwa migumu kuliko ilivyo sasa ilikuwa ikiitwa CAN,
Tukianzia tuu kwenye kufuzu Uganda amemaliza kundi wa Kwanza Tanzanian kamaliza wapili bururundi pia wa pili na Kenya wa pili
Wakati ule timu zikuwa 16 ,wa Kwanza kwenye kundi ndiye angefuzu na best loser watatu
Hapo angepita Uganda tu Tanzania kenya na Burundi hawaja ulamba hivyo hakuna Safari!
Ki uhalisia kiwango ,uongozi na mipango endelevu bado hakuna kwenye Soka letu la TFF
Kilicho tokea wauni wanaita zali la mentali.
Na waswahili wanasema bora nusu shari kuliko Shari kamili.
Ieleweke kwamba Afcon mechi zote ni Misry kule hatutajaza uwanja wala hakuna ujirani mwema, licha ya hayo hata hamasa za sepenga hazina mashiko timi ikishaena,kule ni football.
# vivatanzania
Sent using Jamii Forums mobile app