Tujitafakati kidogo tumepanda kiwango au hii michuano na CAF imekuwa ya kawaida sana?

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Anaekukimbiza nae ni muhimu sana kwenye mashindano ndio maana wakasema usujisifu kukimbia msifu na anae kukimbiza.
Tumeshawapongeza mashujaa wetu kwa kufuzu ila lipo la kutafakari

Hapo awari hii muchuano ilikuwa inahusisha timu 16 yani wababe 16 wa Africa ndio walio kuwa wanaenda kukiputa kwenye michuano hii, na pia ukija kuanagalia kuna miamba iliyo fuzu toka mwaka Jana sisi Wa mwaka huu ni kama second selection au fungulia mbwaa !!

Kiuhalisia Soka la Africa limepanda ila sio kwa kuongeza Tim almost Mara mbili ya zile za awari

Wakati huo hii michuano ilikiwa migumu kuliko ilivyo sasa ilikuwa ikiitwa CAN,
Tukianzia tuu kwenye kufuzu Uganda amemaliza kundi wa Kwanza Tanzanian kamaliza wapili bururundi pia wa pili na Kenya wa pili

Wakati ule timu zikuwa 16 ,wa Kwanza kwenye kundi ndiye angefuzu na best loser watatu
Hapo angepita Uganda tu Tanzania kenya na Burundi hawaja ulamba hivyo hakuna Safari!

Ki uhalisia kiwango ,uongozi na mipango endelevu bado hakuna kwenye Soka letu la TFF
Kilicho tokea wauni wanaita zali la mentali.

Na waswahili wanasema bora nusu shari kuliko Shari kamili.
Ieleweke kwamba Afcon mechi zote ni Misry kule hatutajaza uwanja wala hakuna ujirani mwema, licha ya hayo hata hamasa za sepenga hazina mashiko timi ikishaena,kule ni football.
# vivatanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la muhimu tumeenda.
Hilo tu. Mie nasubiri goli tatu ili tumkumbushe mzee Polepole uwakilishi wake wa 1. Stigler Gorge 2. Standard Gauge na 3. Ndege za ATC. Ntamuomba asinyamaze kimya, matokeo ya kule tutaya-attribute kwa CCM kama ambavyo ushindi dhidi ya Uganda umekuwa attributed kwa CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24 out of 54 ni heshima pia mkuu.... Lengo la CAF ni kufanya vipaji zaidi kuonekana.
Nchi zinashoshiriki Kwa mara ya Kwanza afcon 2019 ni Burundi, Madagascar na Mauritania.
 
Anaekukimbiza nae ni muhimu sana kwenye mashindano ndio maana wakasema usujisifu kukimbia msifu na anae kukimbiza.
Tumeshawapongeza mashujaa wetu kwa kufuzu ila lipo la kutafakari

Hapo awari hii muchuano ilikuwa inahusisha timu 16 yani wababe 16 wa Africa ndio walio kuwa wanaenda kukiputa kwenye michuano hii, na pia ukija kuanagalia kuna miamba iliyo fuzu toka mwaka Jana sisi Wa mwaka huu ni kama second selection au fungulia mbwaa !!

Kiuhalisia Soka la Africa limepanda ila sio kwa kuongeza Tim almost Mara mbili ya zile za awari

Wakati huo hii michuano ilikiwa migumu kuliko ilivyo sasa ilikuwa ikiitwa CAN,
Tukianzia tuu kwenye kufuzu Uganda amemaliza kundi wa Kwanza Tanzanian kamaliza wapili bururundi pia wa pili na Kenya wa pili

Wakati ule timu zikuwa 16 ,wa Kwanza kwenye kundi ndiye angefuzu na best loser watatu
Hapo angepita Uganda tu Tanzania kenya na Burundi hawaja ulamba hivyo hakuna Safari!

Ki uhalisia kiwango ,uongozi na mipango endelevu bado hakuna kwenye Soka letu la TFF
Kilicho tokea wauni wanaita zali la mentali.

Na waswahili wanasema bora nusu shari kuliko Shari kamili.
Ieleweke kwamba Afcon mechi zote ni Misry kule hatutajaza uwanja wala hakuna ujirani mwema, licha ya hayo hata hamasa za sepenga hazina mashiko timi ikishaena,kule ni football.
# vivatanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi point yenu ni nini haswa? Mashindano yanaboreshwa na timu kuongezwa. Usitegemee zipunguzwe.
Sasa kila safari huanza na hatua moja, sasa sijui nyie mnata tuanze na hatua ipi.
 
Ulaya zamani kwenye michuano ya euro timu zilikuwa 16 lakini tangu michuano iliyopita timu ziliongezwa na kuwa 24 kati ya 55.

Sioni shida yoyote kwa caf kuongeza timu.

Ila kwa kweli naomba fifa walikatae ombi la nchi za africa kuongeza timu kombe la dunia maana timu tano viwango vibovu sasa tukiongeza zingine si majanga na kufanya mchuano kuwa mirahisi.
 
Anaekukimbiza nae ni muhimu sana kwenye mashindano ndio maana wakasema usujisifu kukimbia msifu na anae kukimbiza.
Tumeshawapongeza mashujaa wetu kwa kufuzu ila lipo la kutafakari

Hapo awari hii muchuano ilikuwa inahusisha timu 16 yani wababe 16 wa Africa ndio walio kuwa wanaenda kukiputa kwenye michuano hii, na pia ukija kuanagalia kuna miamba iliyo fuzu toka mwaka Jana sisi Wa mwaka huu ni kama second selection au fungulia mbwaa !!

Kiuhalisia Soka la Africa limepanda ila sio kwa kuongeza Tim almost Mara mbili ya zile za awari

Wakati huo hii michuano ilikiwa migumu kuliko ilivyo sasa ilikuwa ikiitwa CAN,
Tukianzia tuu kwenye kufuzu Uganda amemaliza kundi wa Kwanza Tanzanian kamaliza wapili bururundi pia wa pili na Kenya wa pili

Wakati ule timu zikuwa 16 ,wa Kwanza kwenye kundi ndiye angefuzu na best loser watatu
Hapo angepita Uganda tu Tanzania kenya na Burundi hawaja ulamba hivyo hakuna Safari!

Ki uhalisia kiwango ,uongozi na mipango endelevu bado hakuna kwenye Soka letu la TFF
Kilicho tokea wauni wanaita zali la mentali.

Na waswahili wanasema bora nusu shari kuliko Shari kamili.
Ieleweke kwamba Afcon mechi zote ni Misry kule hatutajaza uwanja wala hakuna ujirani mwema, licha ya hayo hata hamasa za sepenga hazina mashiko timi ikishaena,kule ni football.
# vivatanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona nchi imemsahau kapombe ambaye ameumia akitetea taifa nashangaa co karia wala huyo anaitwa.mwaikembe hawamuudumii pamoja na kuwa ameumia akiwa kwenye timu yao chakungaza hata kumkumbuka tu kwa kumuombea kiwanja na yeye wameshindwa halafu mnataka mpira ukue ilihali wanamtaka mtu akiwa.mzima Mungu amejalia ni mchezaji wa timu.kubwa km.katoka lipuli ndio basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuengezwa timu sio kuboreshwa kwa mashindano, Bali ni kupunguzwa ubora wa mashindano. Kawaida kwenye makundi ya African Cup tulikua tukikuta mechi kali kabisa za vigogo kama Egypt vs Algeria, Senagal vs Nigeria.
Kwa sasa tutarijie zile mechi za 5-0 za TZ na Burundi.
 
Hilo tu. Mie nasubiri goli tatu ili tumkumbushe mzee Polepole uwakilishi wake wa 1. Stigler Gorge 2. Standard Gauge na 3. Ndege za ATC. Ntamuomba asinyamaze kimya, matokeo ya kule tutaya-attribute kwa CCM kama ambavyo ushindi dhidi ya Uganda umekuwa attributed kwa CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
slow slow sio Mzee!
ni kijana wa Siku nyingi!
 
Back
Top Bottom