Tujitahidi kuboresha biashara ya kitimoto, tunahitaji mapinduzi ya upikaji kitimoto katika nchi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.

Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni yaleyale na ladha ni ile ile, kitimoto ina namna ya mapishi zaidi ya mia, tujiongeze.

Kwa sasa natafuta mahali wanapika kitimoto staili hii(crispy pork)

20251017_081436.jpg
20251017_081412.jpg

hapa bongo
 
Mungu anisaidie mwakani natamani kufungua kimgahawa cha kitimoto dah
 
Huyo mdudu ni mtamu kwelikweli, ila nashangaa ndugu zetu upande wa pili kule kwa Mudisim mambo ni tofauti hii sijui ikoje.
 
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.

Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni yaleyale na ladha ni ile ile, kitimoto ina namna ya mapishi zaidi ya mia, tujiongeze.

Kwa sasa natafuta mahali wanapika kitimoto staili hii(crispy pork)

View attachment 3489733View attachment 3489734
View attachment 3489735
View attachment 3489736
hapa bongo
Astafirulilah
 
Ngoja tusubiri Ramadhan iishe, mana Huwez kufanya mapinduzi wakati wateja wakuu hawapo
 
Back
Top Bottom