Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.
Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni yaleyale na ladha ni ile ile, kitimoto ina namna ya mapishi zaidi ya mia, tujiongeze.
Kwa sasa natafuta mahali wanapika kitimoto staili hii(crispy pork)
View attachment 3489733View attachment 3489734
View attachment 3489735
View attachment 3489736
hapa bongo