Tujitahidi kujenga chumba cha leseni,vyeti na risiti kwenye majengo yetu

Tujitahidi kujenga chumba cha leseni,vyeti na risiti kwenye majengo yetu

Just imagine usumbufu wallet ikipotea
🤣🤣🤣
Hiyo ni sawa na kupoteza simu yako tu. Utahangaika mwanzoni, baadaye maisha inabidi yasonge mbele kama kawaida.
 
Kadi ya mfuko wa mafao,kadi ya mpiga kura,bima?
Sihitaji kadi ya PSSF wala hiyo ya kura ndio hata siihitaji.
Maisha ya kutegemea pensheni ni unakufa masikini.

Bahati mbaya sana Bima sikuipa kipaumbele.
 
Siwezi miliki ma ID mengi kiasi hiki.
ID tano tu zinanitosha NIDA, Passport, leseni, Bank, Kazi.

Na yote haya yanakaa kwenye wallet bila shida.
NSSF/PSSSF, MEDICAL, KURA, BENKI NAYO SIYO MOJA
 
Sihitaji kadi ya PSSF wala hiyo ya kura ndio hata siihitaji.
Maisha ya kutegemea pensheni ni unakufa masikini.

Bahati mbaya sana Bima sikuipa kipaumbele.
Hicho cha kazi lazima kiambatane na mfuko wa hifadhi, pia lazima kiambatane na bima! Watu wengine bwana sifa za kijinga!!
 
Back
Top Bottom