Superintendent kimura
JF-Expert Member
- Feb 24, 2023
- 333
- 1,316
Kuna wakati unakosa hela kabsa na hauna namna ya kufanya ila kukopa hela kutoka kwa wadau mbali mbali ndio linaweza kuwa suluhisho kwa wakati.
Sasa imezuka tabia ya baadhi ya raia wa nchi hii pendwa kuomba mikopo kwa wadau mbalimbali halafu baada ya hapo anaingia mitini bila kurudisha hela ya watu kitu ambacho kinaleta sana usumbufu kwa mtoa hela ambaye na yeye pia na bajeti ya hela aliyokukopesha.
Juzi hapa kuna raia alinikopa hela sasa hataki hata kupokea simu sahivi naonekana msumbufu kwenye hela yangu kitu ambacho sio fair kabsa. Ulisema mshahara ukitoka utarudisha sasa mshahara umetoka hutaki kurudisha hela na unajua kabsa hii hela nimetoa dukani, yaani mshahara umetoka wewe unashinda baa unakunywa kalinya/ pombe halafu hukati kurudisha hela za watu inasikitisha sana wadau.
Ukikopa hela rudisha kwa wakati ukija kurogwa ndio uanze kulaumu watu.