Tujitahidi kuwa na matumizi mazuri ya Ndimi zetu kama ambavyo hata Vitabu vya Mungu vimetuelekeza hivyo

Tujitahidi kuwa na matumizi mazuri ya Ndimi zetu kama ambavyo hata Vitabu vya Mungu vimetuelekeza hivyo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni wanamshikilia Mfanyakazi za Ndani , Happiness Sela (24) kwa tuhuma za kumchoma kisu Ezekiel Nyamuko (24) kwa kile kinachodaiwa kuwa alipatwa na hasira baada ya kuambiwa na mtu huyo kuwa ana roho mbaya kama sura yake ndio maana haolewi.

Chanzo: HabariLeo

Sasa tayari umeshamdhalilisha kuwa ana Roho Mbaya ukaona haitoshi ukaongezea tena Sura yake iko hivyo ndiyo maana haoelewi kwanini unadhani nae asiamue sasa kukuonyesha Mubashara na kwa Vitendo zaidi kuwa ni kweli ana Roho Mbaya tena iliyotukuka kwa Kukupa Jeraha la Kudumu ambalo kile ukiwa unaliona tu unakumbuka tukio zima ambalo Wewe ndiyo ulikuwa Kisababishi?
 
Wewe ndiyo unaongoza kwa kutumia vibaya ulimi wako kwa kutukana matusi na kukashifu watu humu jf
Ila na Mimi naongozwa kwa Kufanyiwa nini JF na hawa Mabwana zako ambao naona leo umeamua Kuwaongelea na Kuwasilisha Madai yao haya?
 
no si vizuri kulipisha baya kwa baya, wewe unahitaji upendo zaidi upone.
Ukiachia mbali Kuiga Akili Kubwa za Kiyahudi ( Jews ) pia nimeiga tabia yao ya Kupambana na Adui na Kupenda Visasi hivyo ukinichokoza ujipange.
 
Tuione picha yake kwanza ya huyo mwanamke ndiyo tujue tumhukumu vipi jamaa
 
Kwahiyo na Mimi Kuchomwa Kisu huko hadi Kufa ( Kuuwawa ) kunanihusu au?
Nimecheka sana aisee, GENTAMYCINE hadi sasa unamiliki cheo cha juu kabisa cha mtoa mineno mizito mizito....Ngoja tufanye mpango tukukutanishe na beki tatu wetu pendwa.
 
Back
Top Bottom