GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akimpata Muuwaji Mwenzie Ndoa inaweza kuwepo Mkuu.
Kwahiyo na Mimi Kuchomwa Kisu huko hadi Kufa ( Kuuwawa ) kunanihusu au?Look who is preaching🙄
Wewe humu unaongoza kwa maneno mabaya
no si vizuri kulipisha baya kwa baya, wewe unahitaji upendo zaidi upone.Kwahiyo na Mimi Kuchomwa Kisu huko hadi Kufa ( Kuuwawa ) kunanihusu au?
Sasa si watauanaAkimpata Muuwaji Mwenzie Ndoa inaweza kuwepo Mkuu.
Ila na Mimi naongozwa kwa Kufanyiwa nini JF na hawa Mabwana zako ambao naona leo umeamua Kuwaongelea na Kuwasilisha Madai yao haya?Wewe ndiyo unaongoza kwa kutumia vibaya ulimi wako kwa kutukana matusi na kukashifu watu humu jf
Ukiachia mbali Kuiga Akili Kubwa za Kiyahudi ( Jews ) pia nimeiga tabia yao ya Kupambana na Adui na Kupenda Visasi hivyo ukinichokoza ujipange.no si vizuri kulipisha baya kwa baya, wewe unahitaji upendo zaidi upone.
Kwamba Wewe ni Mpumbavu sana na uache tabia yako ya Ushoga.Ndo umeandika nn sasa
Daaaa!! Kila siku itakuwa ni kulala kimachalemachale vile! Kufumba jicho moja kama sungura.Akimpata Muuwaji Mwenzie Ndoa inaweza kuwepo Mkuu.
Jiwenini?Akimpata Muuwaji Mwenzie Ndoa inaweza kuwepo Mkuu.
Nimecheka sana aisee, GENTAMYCINE hadi sasa unamiliki cheo cha juu kabisa cha mtoa mineno mizito mizito....Ngoja tufanye mpango tukukutanishe na beki tatu wetu pendwa.Kwahiyo na Mimi Kuchomwa Kisu huko hadi Kufa ( Kuuwawa ) kunanihusu au?