kiraghunkuri mwisaye
Member
- Feb 12, 2013
- 6
- 0
Kwa haraka haraka baadhi ya wasomi,wanahabari,maafisa elimu na wananzengo wa Tanzania wamejadili kuhusu matokeo wengi wameelekeza lawama kwa wanafunzi lakini mimi kuna kitu nakifuatilia sana kwanini tangu aingie ndalichako baraza kuna hujuma za wazi zidi yake je hizo hujuma hazipo kwenye matokeo haya?Afisa elimu wa Ilala adai wanafunzi wamefeli sababu ya kupoteza muda mwingi kwenye facebook na tv,afisa elimu wa temeke Bashir Shellimoh anadai wanafunzi hawajitumi maswali ya kujiuliza inamaana kujituma na kuangalia tv na kutumia facebook kumeanza mwaka jana?jamani angalieni damu yaBarnaba Venant mwanafunzi aliemaliza Dedbrant sekondari imemwagika maana alisoma vizuri akafanya mitihani vizuri lakini matokeo yamekuwa siyo hao maafisa elimu wanalijua hilo?Tanzania tumekuwa wepesi wa kuunda tume je kwann tusiunde tume huru kufuatilia usahihishaji kwa ujumla?jamani kumbukeni mwaka jana isingekuwa waislamu kuja juu ndo wangekuwa wameshafeli tena.TUWAOMBE WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA NCHI HII WALISEME BILA WOGA.SIAMINI KTK UDHAIFU WA WANAFUNZI NA KUFELI KIASI HIKI