Tujiulize Hili Swali Kuhusu Simba SC

Tujiulize Hili Swali Kuhusu Simba SC

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kwanini Simba SC kila mara inapoingia michuano ya Africa, peak yake kubwa inakuwa ni ROBO FAINALI tu, why ? Baada ya hapo tunaishia kusema BAHATI haikuwa yetu, na Inshallah Inshallah nyingi.

Je tumeshachukua muda na kujiuliza sababu ya kuishia hapo ?

Well, Simba kwa sasa inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuwavusha hapo wanapoishia mara kwa mara na kuwapeleka kaanani kwenye asali na maziwa,hiko ndiyo kitu kilichobaki kwa sasa, na sio hizi Blah Blah za kina Ahmed na hii kauli nilikuambia wewe Ahmed hapa South Africa wakati timu inaingia uwanjani.

TIME na MONEY ndiyo investment ya timu na ndiyo hapo tutasema haikuwa BAHATI yetu.

I am realistic na sina ushabiki wa sugarcoat. Kuna Mchezaji wa SSC au Tanzania anaelipwa hata mili 25 kwa mwezi, kama yupo mtaje! Wachezaji wengi wa Simba ni wale wa Transfer za Mil 200 hadi 300 ambao wanakuja kama below average na kupatia Experience hapo hapo SSC na ku excel mbele kwa mbele kama kina Mikisoni, Banda , Sakho na Perfect Chikwende.

Ni wakati wenu sasa kuwa na wachezaji wa kuvunja mkataba na above average kama kweli mnataka kutoka hapo kwenye COMFORT ZONE yenu ambayo ni robo fainali. Tofauti na hapo tuendelee kula wali, maharagwe yataiva baadae, tutayala bila wali.

Ushauri
1. Mugalu, Kagere, Bocco, Kibu(ana hekaheka nyingi ambazo hazina madhara) Bwalya , Mhilu na wengineo ambao ni useless ; wakati wao umeshaisha, zitoeni haraka sana.... cha ajabu na cha kushangaza utaona Mugalu, Bocco , Kagere wapo kwenye msimu ujao.

2. Manula, Kapombe, Morrison, Sako, Baka Enock, Banda, Mkude hawa wabaki
3. Kocha Mpya ni suala la lazima, Pablo haliwezi soka la Africa. Huwezi kwenda mechi ya jana na [emoji817] mind ya ku defense muda wote . Israel alishaonesha kupwaya tangu dakika za kwanza. Gomez ile mechi ya jana asingefungwa

Mmepoteza takribani Bil 2 kwa uzembe wa kocha.
Vunjeni mikataba kama kweli mnataka kutoka kwenye comfort zone.
 
Kocha Mpya ni suala la lazima, Pablo haliwezi soka la Africa. Huwezi kwenda mechi ya jana na
emoji817.png
mind ya ku defense muda wote . Israel alishaonesha kupwaya tangu dakika za kwanza. Gomez ile mechi ya jana asingefungwa
Umegeuka Sheikh Yahaya Sasa, huyo Gomez hakufungwa 4 huko bondeni ?

Baada ya Simba kufungwa kila mtu ataishauri, Ila wangepita kwenye zile penalty ungebaki kimya .
 
Kila mtu na malengo yake, mi jana nimefurahi tu hazikupiga goli nyingi.
Nikiangalia
robo fainali Vs mazembe 1-4 ,
robo fainali Vs kaizer 3-4,
robo fainali Vs Orlando 1-1 .
mi naona tunazidi kukua japo kwa speed ndogo. Yote mnayoyataka ni kweli ila pia changamoto ya bajeti kutojulikana inakwamisha.
 
Kila mtu na malengo yake, mi jana nimefurahi tu hazikupiga goli nyingi.
Nikiangalia
robo fainali Vs mazembe 1-4 ,
robo fainali Vs kaizer 3-4,
robo fainali Vs Orlando 1-1 .
mi naona tunazidi kukua japo kwa speed ndogo. Yote mnayoyataka ni kweli ila pia changamoto ya bajeti kutojulikana inakwamisha.

Bajeti ziwekwe wazi
 
Umegeuka Sheikh Yahaya Sasa, huyo Gomez hakufungwa 4 huko bondeni ?

Baada ya Simba kufungwa kila mtu ataishauri, Ila wangepita kwenye zile penalty ungebaki kimya .

Utashindwa kujifunza
 
Back
Top Bottom