Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
NAJIULIZA JE:
Nikija kwa NEC Najiuliza vile vile JE:
-NEC wanahitaj kuskukumwa na nguvu ya umma kutangaza matokeo haraka? Mfano mwanza
-Si busara kumpandishe cheo msimamizi wa Musoma kwa kuonyesha mfano mzuri.
Je nini tafsiri yako ya matokeo haya mpaka sasa ?
- Tumpongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo? wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa yakichakachuliwa miaka ya nyuma.
- wananchi ,vijana kwa wakubwa tumeanza kushtuka usanii wa CCM
- Ni udhaifu wa JK kushughulikia UFISADI ndio umechangia kuongeza nguvu ya Upinzani?
- Ni vyama vya Upinzani hasa CHADEMA vimeaaza kuwafikia wananchi na sera zao kueleweka na kukubalika?