Elections 2010 Tujiulize je:-

Elections 2010 Tujiulize je:-

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
NAJIULIZA JE:

  • Tumpongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo? wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa yakichakachuliwa miaka ya nyuma.

  • wananchi ,vijana kwa wakubwa tumeanza kushtuka usanii wa CCM

  • Ni udhaifu wa JK kushughulikia UFISADI ndio umechangia kuongeza nguvu ya Upinzani?

  • Ni vyama vya Upinzani hasa CHADEMA vimeaaza kuwafikia wananchi na sera zao kueleweka na kukubalika?


Nikija kwa NEC Najiuliza vile vile JE:
-NEC wanahitaj kuskukumwa na nguvu ya umma kutangaza matokeo haraka? Mfano mwanza
-Si busara kumpandishe cheo msimamizi wa Musoma kwa kuonyesha mfano mzuri.


Je nini tafsiri yako ya matokeo haya mpaka sasa ?
 
Back
Top Bottom