Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Yaani hata Uganda hawamo. Kweli ccm wametuwekea gundu
 
Wanatuonea tuu wivu na rasilimali zzetu, Kenya has nothing!
P

Yaani kwenye list hizo kigezo ni rasilimali? Kenya wametuzidi sana Bro wana nchi ndogo zaidi, dadi ya watu wachache zaidi, jamii kama yetu lakini wametuzidi kwasababu wenyewe wana mifumo imara kuliko sisi. Mahakama huru, Katiba ya kisasa. Tanzania hatuna mifumo tuna janga ambalo ni mafisadi na CCM bila hawa kuondoka nchi haitaenda mahali nilishasema sasa ndiyo mnayaona
 
Kwanini ujiulize kuhusu Kenya wakato sababu inafahamika. Ni kwamba Watanzania wana overstay kwenye visa walizopewa zamani
 
Trump hajanyooka. Kisingizio anachoweza kutumia kwa hatua yake fulani kinaweza kuwa hakina uhusiano wowote na jambo alilonalo kichwani mwake. Ndiyo maana huko Venezuela amelipua many speedboats na kuua mamia ya watu kwa kisingizio cha vita dhidi ya narcoterrorism kumbe mazafaka alikuwa anataka mafuta tu—sio kudhibiti drugs wala kuondoa Serikali haramu. He’s a real piece of shit!
 
Walivyompiga ban. Makonda, serikali ya ccm haikuelewa somo. Suala hapa sio raslimali ni namna ya kutengeneza wakimbizi wengi na fujo za watu wa Tz nchini USA.
Mtu kama makonda hakutakiwa kubebwa kama alivyo sasa na ccm hii, kuna watu kama hao wangapi wanaotengenezwa na ccm.
 
Wanatuonea tuu wivu na rasilimali zzetu, Kenya has nothing!
P
Mnafiki katika ubora wako, wimbo wa rasilimali ni long gone..

Ni aibu na unafiki wa kiwango kikubwa , unasema una rasilimali halafu watoto wanakamuliwa $2 kufund chakula shuleni halafu mafisadi yanapepe na magari ya mamilioni ambayo hayaleti tija yoyote kufanya hizo rasilimali kunufaisha kila mtanzania.
 
Hata Uganda hawamo .
 


Naombeni sana huyu kaka yetu Pascal ni mtu mwema lakini ni mtu wa kufumbia macho matatizo hasa kwa CCM na Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…