Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

Naombeni sana huyu kaka yetu Pascal ni mtu mwema lakini ni mtu wa kufumbia macho matatizo hasa kwa CCM na Samia.
Mkuu Kamundu , huyu mtu ni mnafiki wema wake ulikua zamani sio sasa katika watu wanafiki ninaowafahamu Pascal anashika namba tatu akitanguliwa na Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo.
 
Back
Top Bottom