Rais anavyosema mikutano ya siasa ifanyike kwa kuzingatia utamaduni wetu. Tanzania haina utamaduni mmoja kama nchi nyingi za Asia. Tanzania kuna tamaduni nyingi sana kuna makabila ambayo wanajifunika mpaka uso lakini makabila mengine wana kaa nusu uchi! sasa utamaduni wa Tanzania ni upi.
Kama nchi Poilisi wanatakiwa kufuata sheria na sio tamaduni. Hii ni kwasababu tukisema tufuate tamaduni basi Polisi na wanasheria watakuja kila siku na lipya. Kama kweli ni tamaduni muhimu basi ziwekwe kwenye sheria ili isije ikawa vyombo vya sheria ndivyo vituambie utamaduni wetu ni upi badala ya kufuata sheria.
Kama anayejua atuambie. Wakati wa Magu ulikuwa ukisema kadanganya ni shida je utamaduni wetu utaruhusu kusema Raisi Kadanganya!? Mimi wasiwasi wangu ni hapa