Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tumewaona wanyama na binadamu wengi wakizeeka na kufa lakini sio nyoka..
Ni ngumu sana sana kukutana na nyoka mzee.Siri ni moja tu. Nyoka wana hulka ya kujivua gamba (ngozi ya zamani) pale wanapojihisi wameanza kuzeeka na kuanza kupoteza nguvu ya kuishi kupitia mapambano ya maisha.
Mchakato wa nyoka kujivua gamba la zamani sio rahisi kihivyo.
Hutafuta eneo tulivu wenye mimea hai lakini yenye miba na ustawi wa mzuri.
Mimea mikavu hata kama ina mimba ni mfu hivyo hawezi kustahimili mchakato wao kujivua gamba!
CHADEMA ni chama kikongwe kwenye siasa za Tanganyika na pengine Afrika!
Ni kikongwe lakini kilichogoma kuzeeka! Kimeendelea kushamiri na kukua kwenye kila sekta na kila idara lakini hakuna marefu yasiyo na ncha..
Hakuna nyoka mzee kwa sababu wengi huuliwa.. Kwa hofu ama vinginevyo.
Uhai wa binadamu na roho na uzima wa gari ni mashine..! Uhai wa taasisi ni maono ya jasiri muongoza njia na 'cobweb'
Kuna nyakati za kukubaliana na mahitaji ya nyakati.
Ni muhimu sana kujivua gamba wakata unapoamua
Mwamba kaitoa mbali CHADEMA.. Mbali sana.. Kaikuza na kuijenga kwa mafanikio makubwa ya kukumbukwa vizazi na vizazi.. Lakini kama nyoka anahitaji kujivua gamba.
Ni kama nyani mzee aliyekwepa mishale mingi ya sumu. Kuna wakati ukifika huamua kupumzika na kuwa kuhani wa kulea vizazi!
Akikomaa hata wakati na nyakati humkataa automatically!
Kwa nyakati zilizopo ni muhimu na ni lazima kujivua gamba.. Akijivua yeye gamba ni sawa na taasisi nzima kuzaliwa upya!
Inahitajika CHADEMA mpya .. Yenye makali mapya na gamba jipya kukabiliana na nyoka wa mapangoni, mwituni na jangwani
Ni wakati wa CHADEMA kujivua gamba!