Tujivunie asili yetu: Tujuzane michezo ya jadi kwa makabila ya Tanzania

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu

Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo

Michezo hiyo ni kama vile:

WAZARAMO: BAO



WAKURYA: MIELEKA (wao huita "ilikinana")

Your browser is not able to display this video.


TUENDELEEE ........
 
Wasukuma, Wahaya, waha, wafipa, wanyakyusa, wangoni, wamakonde, wamwera, wasambaa, wachaga, wamasai, waapare, wanyamwezi, warangi, n.k.
 
umeamua uturudishe kweny zama za Early stone age na Ancient society wakati binadamu tupo kweny dhama za modern Science
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…