Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Tokea niipate hi tokea kwa Ontario nakomaa nayo. Ningependa tujuane ambayo bado hatujakata tamaa pia tunajua kuwa yafuatayo :
1- Ussain Bolt alikimbia chini ya dakika mbili ila ndani ya huo muda akawa ametengeneza si chini ya 2M$. Mpaka kuja kufikia hatua hiyo alifanya mazoezi kwa muda Wa miaka 20.
2- kipchoge mwanariadha alikimbia kwa Siku 365 katika mwaka mzima bila kukosa hata Siku moja na kushinda tani la London marathon.
3- Michael Jordan alimisi mipira 8000 kabla ya kuwa star Wa NBA.
4- Inverter Wa bulb tunayotumia alifanya experiments kama 2999 ila ya 3000 ndo taa ikawaka.
5- Anord Schwarzenegger alikuwa akifanya sit ups kama 500 muda Wa kula tu.
6- Muhammad Ali hakuhesabu kuwa amepiga punch ngapi mpaka alipochoka.
7- Daktari anasoma miaka 18 Anakuja kulipwa mshahara Wa chini 1000$ kwa mwezi.
8- Engineer anasoma miaka 17 ndo Anakuja kulipwa mshahara Wa chini dola 1000 kwa mwezi labda awe amebahatisha kwa project Fulani kama ya ADB&WB sponsored.
9- uwe star Wa Kikapu Moira yabidi kila Siku urushe mipira isiyopungua 400 kila Siku.
10- maendeleo hayaji siku moja kila kitu kinatoka mbali kwa mfano ww mwenyewe ulivyoumbika ulianzia kwa maji maji ya wazazi wako sema bahati mbaya yangemwagika kwa shuka ,baba angesema kuwa kafue huu uchafu ila Leo hii ni binadamu una mifupa na unamiliki billions of dollors kama sio Towers kadhaa Dubai ama NY.
11- Forex sio get rich quick scheme.
12- Fx ni patience and hardworking.
13-Fx sio hope,pray,geed wala over trade.
14- FX ni kazi kama kazi zingine ama ni career kama career zingine.
15- Kuna trader mmoja alitoa account yake from 200$ mpaka 200$ Billion .
16- Fx ni biashara kama biashara zingine zilivyo ili utoke yabidi uwe na mtaji kama biashara yoyote ile kuwa capital ni muhimu.
17- Upo tayari kuisoma Fx kwa masaa 6 kila siku kwa muda Wa miaka 5.
18-Fx is both gambling and business but we decide to stay in business side.
19- Ontario hatujaibia ama kuunguza akaunti sio kupoteza Hela Bali ni kama ada/ gharama ambazo tunalipa ili kujifunza tuwe professionals kwa miaka 10,15 ama 20 ijayo.
20- Warren Buffet ni trader tokea akiwa na 11 yes mpaka saivi ana 65+ anatredi bado.
21- Inatakiwa uwe tayari kusoma countless PDF about Forex.
22- All traders loose money even Warren majuzi amepoteza 3.7$ Milion.
23- Fx is real na unafanikiwa kwa kukata your losses zikiwa hazijawa kubwa na unaacha profit trades ziwe kubwa ndo uzichukue.
Naomba tufahamiane na muda si punde nitaweka link ya telegram