Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
- #41
Sure mkuu.asante kwa kusahisha ila naomba uangalie mantiki katika habariSIO INVERTER NI INVENTOR....Vijana wa BRN mnachangamoto sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure mkuu.asante kwa kusahisha ila naomba uangalie mantiki katika habariSIO INVERTER NI INVENTOR....Vijana wa BRN mnachangamoto sana.
duh, huyo hana haja tena na fx maana ni tajiri mara mbili zaidi ya kina billgetMkuu hulazimishwi maisha ni kama imani ya dini. Unaweza ukaamini unachoamua kuamini
Kuna mtu atalizwa na huu uzi. Kuna dalili hapa nimeziona.hahaha hapa nishushe arifu,,,,,,hivi unaijua 200$ billion?
"Kuna trader mmoja alitoa account yake from 200$ mpaka 200$ Billion"
HàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaK
Kuna mtu atalizwa na huu uzi. Kuna dalili hapa nimeziona.
Haha mimi nipo na Forex ila kwa foundation ground, but $200B is way to far, Apple company nzima ndio thamani yake hiyo. Na hakuna mtu aliyefikia record na uwezo wa tradings kama George Soros, Ray Dalio na Warren Buffet duniani ambaye kwa sasa by forbes he's #4 in net worth of around $80B yaani bado sana to a $200B fortune. Ila Forex a is fruitful investment which requires deep analysis and critical understandings of finance/markets/commerce/economy.Kuna umuhimu wa kumjua huyo jamaa aliemake kiasi hicho mana mzee wa Amazon, Microsoft & Co hakuna hata mmoja anaekaribi hiyo figure ya 200$ bilion.
Kumsaidia mtoa mada maana hajafanya research ipasavyo ni kuwa Trader anayemzungumzia kuwa amepata kiwango kikubwa cha faida ya pesa ni jamaa anaitwa RICHARD DENNIS na alikopa pesa dola $1600 na sio $200 na kuweza kuzalisha zaidi hadi kufikia dola $200 million ndani ya miaka 10 baadae na sio dola $200 billion. PEACEhahaha
$200 billion mzee,,si mchezo labda hata zingekuwa za kibongo hila hapa ni USD,,,,
Hapo ina make sense lakini ya mtoa mada ilikua chai ya asubuhiKumsaidia mtoa mada maana hajafanya research ipasavyo ni kuwa Trader anayemzungumzia kuwa amepata kiwango kikubwa cha faida ya pesa ni jamaa anaitwa RICHARD DENNIS na alikopa pesa dola $1600 na sio $200 na kuweza kuzalisha zaidi hadi kufikia dola $200 million ndani ya miaka 10 baadae na sio dola $200 billion. PEACE
Huyu jamaa naweza kusoma historia yake wapi boss?Kumsaidia mtoa mada maana hajafanya research ipasavyo ni kuwa Trader anayemzungumzia kuwa amepata kiwango kikubwa cha faida ya pesa ni jamaa anaitwa RICHARD DENNIS na alikopa pesa dola $1600 na sio $200 na kuweza kuzalisha zaidi hadi kufikia dola $200 million ndani ya miaka 10 baadae na sio dola $200 billion. PEACE
Millionaire TradersKumsaidia mtoa mada maana hajafanya research ipasavyo ni kuwa Trader anayemzungumzia kuwa amepata kiwango kikubwa cha faida ya pesa ni jamaa anaitwa RICHARD DENNIS na alikopa pesa dola $1600 na sio $200 na kuweza kuzalisha zaidi hadi kufikia dola $200 million ndani ya miaka 10 baadae na sio dola $200 billion. PEACE

Mimi naishi mjini hapa because of forex. Mwanzo ilikuwa ngumu but sasa nateleza tu. Kuna kitu inaitwa nasdaq 100 ndo habari ya mjini hivi sasa.
Nasdaq 100 ndo inakuaje mkuu?Mimi naishi mjini hapa because of forex. Mwanzo ilikuwa ngumu but sasa nateleza tu. Kuna kitu inaitwa nasdaq 100 ndo habari ya mjini hivi sasa.
Hiyo vix hapana mkuu.. Nishaijaribu demo ikanishindaVipi v75
Nasdaq 100 ni index mkuuNasdaq 100 ndo inakuaje mkuu?
Mimi naishi mjini hapa because of forex. Mwanzo ilikuwa ngumu but sasa nateleza tu. Kuna kitu inaitwa nasdaq 100 ndo habari ya mjini hivi sasa.