Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

K
hahaha hapa nishushe arifu,,,,,,hivi unaijua 200$ billion?
"Kuna trader mmoja alitoa account yake from 200$ mpaka 200$ Billion"
Kuna mtu atalizwa na huu uzi. Kuna dalili hapa nimeziona.
 
Kuna umuhimu wa kumjua huyo jamaa aliemake kiasi hicho mana mzee wa Amazon, Microsoft & Co hakuna hata mmoja anaekaribi hiyo figure ya 200$ bilion.
Haha mimi nipo na Forex ila kwa foundation ground, but $200B is way to far, Apple company nzima ndio thamani yake hiyo. Na hakuna mtu aliyefikia record na uwezo wa tradings kama George Soros, Ray Dalio na Warren Buffet duniani ambaye kwa sasa by forbes he's #4 in net worth of around $80B yaani bado sana to a $200B fortune. Ila Forex a is fruitful investment which requires deep analysis and critical understandings of finance/markets/commerce/economy.
 
hahaha
$200 billion mzee,,si mchezo labda hata zingekuwa za kibongo hila hapa ni USD,,,,
Kumsaidia mtoa mada maana hajafanya research ipasavyo ni kuwa Trader anayemzungumzia kuwa amepata kiwango kikubwa cha faida ya pesa ni jamaa anaitwa RICHARD DENNIS na alikopa pesa dola $1600 na sio $200 na kuweza kuzalisha zaidi hadi kufikia dola $200 million ndani ya miaka 10 baadae na sio dola $200 billion. PEACE
 
Hapo ina make sense lakini ya mtoa mada ilikua chai ya asubuhi
 
Huyu jamaa naweza kusoma historia yake wapi boss?
 
Millionaire Traders
This Trader Turned $400 Into $200 Million In 10 Years (Amazing!)

Richard Dennis. You may have read about him.
His story is truly a stuff for trading legends. This guy was around 23 years old and he was reported to have borrowed $1,600 and turned it into $200 million in about 10 years trading commodities.
By the time he was 26 years old, he was already a millionaire trader.
Here’s an interesting fact: He only traded $400 of the $1,600.
How? Well, you will find out below.
Where did he get the money to trade? Borrowed from family.
There are only few few traders that can take a small amount o money an turn it into millions and this trader was one of them.
That is an impressive feat.
After his success, he got into managing funds and suffered significant losses in the stock market crash of 1987.
Richard Dennis Net Worth
What is Richard Dennis’s net worth?
Unfortunately, I cannot find anything online on Richard Dennis’s Net Worth but my good guess is that his net worth would be somewhere up in the tens of millions at least.
So Who Is Richard Dennis?
That guy below, who looks like a nutty old professor, is Richard Dennis.
I don’t know what year this photo was taken but that fact is, he was a bit younger back then.

Richard Dennis was born in Chicago in January 1949.
He was once known as the “Prince of the Pit”. If you don’t know what that means then its this: he was making more money than those pit traders at that time.
Here’s how Richard Dennis got started in trading:
  • Dennis became an order runner on the Chicago Mercantile Exchange at 17 years of age.
  • a few years later he started trading his own account at MidAmerica Commodity Exchange just trading “mini” contract. As he was “underage” ( he needed to be 21 years old) to be trading, he worked as his own runner and hired his Father who traded for him in the pit.
  • He ended up in University and got a bachelor Degree in Philosophy and got a scholarship as a graduate to continue studying further but he just couldn’t get trading out of his mind. So he quit that scholarship
  • Borrowed $1,600 from his family and used $1,200 to pay for his seat and then started trading with only $400 trading capital.
  • In 1970, he increased that $400 to $3,000.
  • In 1973, his trading capital was $100,000
  • In 1974, he made $500,000 in profits just trading soybeans and at the end of that year, he was a millionaire and he was just shy of his 26th Birthday.
 
Mimi naishi mjini hapa because of forex. Mwanzo ilikuwa ngumu but sasa nateleza tu. Kuna kitu inaitwa nasdaq 100 ndo habari ya mjini hivi sasa.
 
Hii kitu inataka akili na utulivu mkubwa sana but it can be done, forex is one of the keys to unlocking wealth
 
Hv watu nyie mnavyobisha kwamba jamaa alivyosema kuna mtu alitengeneza 200bilions USD kupitia forex ndio inawezekana lakin asijulikane kama nitajiri

Ninachoamin kuna matajiri wengi kuliko hata jeff bezos au hata kuna watu wanamiliki bilions of money kuliko thaman ya kampun ya apple

Cha kwanza bezos ni tajiri wa kwanza wa dunia kwa mujibu wa forbes kwamba forbes ndo imemselect kwa yeye ndo tajiri wa kwanza dunian vip kuhusu Satoshi Nakamoto muanzishaj wa bitcoin ambaye inasadikiwa anamiliki billions of bitcoin piga hesab ya bitcoin moja price ya mara hzo billions btc anazomilik zinapita hata utajiri wa bezos

Alaf kitu kingine Forbes hawaangaliag matajiri wenye ushirikian na mataifa ya mashariki ya kati hususan watu wanaomiliki visima vya mafuta Mfano sasa piga mtu mmoja anavisima vya mafuta kama 20 anauza mafuta uingereza marekan labda na russia hv huyo mtu unamchukulia kirahis rahs

kwa hyo mtu kumiliki kama 200bilions USD japokuw ni ela nyng kutamka hadharan sio sabab ya wew kusema et mbona humjui mara kwa hyo kampita hadi Jeff bezos au bill gates kuna watu wako on top sema forbes wanaweeka wakina Bezos kwa vigezo vyao mbona hata apa Afrika kuna watu wanasaidia serikali hata kujenga miundombinu wanamiliki kampun za ndegena hamuwajui wamekaa kimya ... lakin utasikia tajir wa kwanza Africa Dangote kwa hyo msiwe mnapenda kubisha kitu ambacho unauhakika nacho
 
Spy 1983 pamoja Arch Angel Nasdaq ni mojawapo ya kampuni kubwa za stock exchange za marekani kuiacha NYSE market
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…