Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
let me assume kua unatania ila hauko serious na hilo jibuNo 1
Kwann uasume?? Ni chemsha bongo...right??let me assume kua unatania ila hauko serious na hilo jibu
😎😎😎😎😎😎Kikombe no.4 kitapata maji kabla ya vikombe vingine kutokana na uwazi uliopo kwenye main tube ambao upo uelekeo sambamba na kikombe no.4 baada ya pressure ya maji kuwa kubwa kutokana na kufungwa kwa tubes zingine.