Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Huwez jutia kuwa Barcelona na wala MSN hawawezi kukuangushaKwa leo mimi nitakuwa Barcelona chini ya jemedari Lionel Messi Mchezaji hatari zaidi kumshuhudia.
Je wewe upo upande upi?
3:30 usikuMie niko Barca hapo...
Lazime tumnywesehe mtu 4 bila tena
na nshaku Note maybe u change ID.Leo Madrid akiifunga Barcelona naacha kushabikia mpiraView attachment 334201
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nina id moja tu istoshe najiamini pia Barcelona hawajawai niangushana nshaku Note maybe u change ID.
Jamaa gani ni bwabwaMimi nipo Madrid kabisa hata kama yule jamaa wanasema ni bwabwa..