PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Cc: nkuwi Nando Th Name cute bNiko kwa wanaoujua mafundi hawa Barcelona..!
Kuna watu wana akili mbaaya eti kuna wengine bila hata chembe ya aibu wanasema ni mashabiki wa Eti Man U, eti Chelsea kweli una akili zako timamu unaiacha barcelona unaenda kushabikia eti Chelsea?
Kweli kila binadamu ana ikichaa na wendawazimu wake albert Ainstein.