Tujuane Kuelekea El Clasico ya Leo 2 APRIL

Niko kwa wanaoujua mafundi hawa Barcelona..!

Kuna watu wana akili mbaaya eti kuna wengine bila hata chembe ya aibu wanasema ni mashabiki wa Eti Man U, eti Chelsea kweli una akili zako timamu unaiacha barcelona unaenda kushabikia eti Chelsea?

Kweli kila binadamu ana ikichaa na wendawazimu wake albert Ainstein.
Cc: nkuwi Nando Th Name cute b
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nina id moja tu istoshe najiamini pia Barcelona hawajawai niangusha
hata walivyofungwaga mengi na bayern,
Nakumbushia tu.sababu ligi hiyo huwa siangalii
 
54a6d0814c73cc22f5d5eab05b12628a.jpg

kibanda umiza
 
Niko kwa wanaoujua mafundi hawa Barcelona..!

Kuna watu wana akili mbaaya eti kuna wengine bila hata chembe ya aibu wanasema ni mashabiki wa Eti Man U, eti Chelsea kweli una akili zako timamu unaiacha barcelona unaenda kushabikia eti Chelsea?

Kweli kila binadamu ana ikichaa na wendawazimu wake albert Ainstein.
Madrid mpaka sasa hawaonekani
 
Back
Top Bottom