Ndugu, wewe ni mgeni Yerusalemu? Hujui yaliyomtokea yule mtu mwenye haki Christiano Ronaldo?Jamaa gani ni bwabwa
Kama kawaida....REAL MADRID....mlitudhalilisha benabeu...sasa ivi ni zamu yenu....nou camp itawaka moto!!Kwa leo mimi nitakuwa Barcelona chini ya jemedari Lionel Messi Mchezaji hatari zaidi kumshuhudia.
Je wewe upo upande upi?
Mwanangu uchunge sana ulimi wako usije ukawakosea wenye hekima. Na tena uwe mwerevu kama nyoka usijekutumbukia shimoni kama mashabiki wa Arsenal, kwa maana, walipata kunena zamani zile za mfalme Herode miaka ya 2004 na sasa wapo kimya kama watu wa Babiloni.Niko kwa wanaoujua mafundi hawa Barcelona..!
Kuna watu wana akili mbaaya eti kuna wengine bila hata chembe ya aibu wanasema ni mashabiki wa Eti Man U, eti Chelsea kweli una akili zako timamu unaiacha barcelona unaenda kushabikia eti Chelsea?
Kweli kila binadamu ana ikichaa na wendawazimu wake albert Ainstein.
Hivi ukiwa yokobus lazma uwe na timu mbiliuna uhakika hatuonekani??
Kwa leo mimi nitakuwa Barcelona
mimi ni kwa leo tu kwa ajili ya mechi moja pekee yenye msisimko ya la liga.leo tuKwa leo tu? Unakuwaje mshabiki kwa mechi fulani? Au ndio mshabiki wa kuazimwa? Au ni wale wafia EPL ila utamu wa kandanda ndio unakufanya uangalie el clasico?
Mimi kama jana na juzi na hata zamani ni mdau wa real madrid. Najua leo ngoma inogile na wale washenzi Waamerika Kusini wako juu sana ila naamini "mtume" Zizzou atawapanga vijana wake vizuri.
Tight defending na counter za kufa mtu. Leo lazima Madrid alinde heshima bana.
Mwanangu uchunge sana ulimi wako usije ukawakosea wenye hekima. Na tena uwe mwerevu kama nyoka usijekutumbukia shimoni kama mashabiki wa Arsenal, kwa maana, walipata kunena zamani zile za mfalme Herode miaka ya 2004 na sasa wapo kimya kama watu wa Babiloni.
Yu na kheri zaidi asiyeenenda katika njia zako.
Tuko pamoja mkuuMadrid ndio chama langu kwa leo lkn kila nikifikiria MSN dhidi ya beki la Madrid nahisi tumbo kuchafuka......!!!
All in all liwalo na liwe
Haitokei siku hizi kila timu zinajipanga kupanda na sio kushukaWe jamaa umenikumbusha arseanl ya 2004-2005. Iliwafanya washabiki wao wakawa shida sana mtaani. Walinisababishia mpaka vidonda vya tumbo. Walikua nyoko sanaaa. Hawaamini kinachowatokea sasa.
Kwa upande mwingine washabiki wote wa soka tujifunze. Timu kuwa on-fire ni kama duara. Kuna kipindi mnakua vyema na kipindi mnashuka. Nadhani wengi tunakumbuka timu za Italia (AC Milan, Inter Milan, Juve na AS Roma) zilivyokua shida late 1990s na mwanzoni mwa 2000. Namkumbuka Kaka na AC Milan walivyokua wanatuabisha Man U. Sasa hivi hata UCL siwaoni. Iko wapi Liverpool iliyotoka 3down hadi kushinda UCL mbele ya AC? Wako wapi (kina sie) Man U waliompiga Barca nusu fainal na kisha kumchapa Chelsea final? Ziko wapi enzi EPL inaingiza timu tatu out of four nusu fainal UCL? Daaammn; glory days are gone, but will be back. Hata hii Barcelona ipo siku washabiki wake watakumbukia glory days siku moja.
Mungu atupe uhai. Tutakumbushana kama tu ambavyo tunakumbushana na wana ArsenalHaitokei siku hizi kila timu zinajipanga kupanda na sio kushuka
Arsenal ilitisha ila ni EPL sio kiduniani hawana Uefa hata la mbao hadi leo na hata ule mwaka Arse8 iliyokuwa invisible ilikuwa kwenye Uefa watu wanajipigia watakavyo almanusura aishie makundi wakat akicheza epl wanamuogopaMungu atupe uhai. Tutakumbushana kama tu ambavyo tunakumbushana na wana Arsenal