Tujuane kwa hisia

d tarimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
918
Reaction score
515
Wakuu tufanye kujuana hata kwa hisia hebu tupia jina la mtaa uliopo na kitu/ mtu maarufu kwenye hizo pande zako unaweza ukakutana na jirani yako humu

Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Niko magogoni hapa karibu na ikulu
 
...unafanya nini hapo ulipo!?
 
Wakuu tufanye kujuana hata kwa hisia hebu tupia jina la mtaa uliopo na kitu/ mtu maarufu kwenye hizo pande zako unaweza ukakutana na jirani yako humu

Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Niko magogoni hapa karibu na ikulu
Nipo NYUMA YA TILES NYEUPE za MAGOGONI..

Nimeku PM jirani...

TUTAFUTANE BASII

#ASANTE.
#YNWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…