Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Ahahahahhahaha afu ukute kweli bana maaan kuna sehemu nilikuta analalamika kuhusu maokoto yake baada ya kumaliza kibaruafundi bishoo ni saidia fundi.
Mkuu jaribu kuwa seriouslyUsije😎
Ahahahha mfuko upo..Huu umoja una mfuko?
SafiAhahahha mfuko upo..
Ila taratibu tunao wahasibu wetu tayar mkuu
Nakuona tuu...Safi
Ndio maana nataka tuwe pamoja mkuu ili tusaidie hiki kizazi et...Tangu lini mafundi tukapendana
Safi sana mkuuu sasa subiri connection hapa...Fundi ramani na Uchimbaji visima kiasi
Basi umoja wa mafundi namweka kazi zenu tuzione.Wasalam...
Ikiwa ni ijumaa safi kabisa yenye baraka na fanaka tele...
Bila kuwachelewesha leo naomba niwakutanishe na mafundi wote ambao wapo hapa jf kutatua shida mbali mbali ukiachana na mimi Fundi manyumba au fundi bishoo
Ila kuna wenzetu wengi ambao wamekua wakitoa michango mbali mbali hapa jf...
kama unakutana na shida mbali mbali unaweza pitia hapa ukakuta na na mafundi bora kabisa kama vile -:
fundi car parking shades
Fundi CEO
Fundi dls24
Fundi hisense Lg Samsung
Fundi kipara
Fundi kitasa
Fundi manyumba
Fund man
Fundi mcheshi
Fundi Mchundo
Bado tuna hitaji mafundi zaidi na zaidi wakiwepo fundi nguo na fundi cherehani...
Asanten
View attachment 3059635
Sawa mkuu karibu sana mkuuBasi umoja wa mafundi namweka kazi zenu tuzione.
Wee mtoto kuwa na adabu.vipi kuhusu mafundi wa kitandani?
Karibu sana mkuuSafi sana mkuuu sasa subiri connection hapa...
Fundi majumba huwa nakutana nq tendq za ramani sana an