Tujuane mafundi JF, Umoja wa mafundi (UWAMA)

Tujuane mafundi JF, Umoja wa mafundi (UWAMA)

Fundi paa hapa, nakaza kila jengo
Napaua majengo yote, napiga kazi pamoja na wife. Gharama zetu nafuu sana
 

Attachments

  • 20240708_163419.jpg
    20240708_163419.jpg
    196.3 KB · Views: 4
Sae
Wasalam...
Ikiwa ni ijumaa safi kabisa yenye baraka na fanaka tele...

Bila kuwachelewesha leo naomba niwakutanishe na mafundi wote ambao wapo hapa jf kutatua shida mbali mbali ukiachana na mimi Fundi manyumba au fundi bishoo

Ila kuna wenzetu wengi ambao wamekua wakitoa michango mbali mbali hapa jf...

kama unakutana na shida mbali mbali unaweza pitia hapa ukakuta na na mafundi bora kabisa kama vile -:

fundi car parking shades
Fundi CEO
Fundi dls24
Fundi hisense Lg Samsung
Fundi kipara
Fundi kitasa
Fundi manyumba
Fund man
Fundi mcheshi
Fundi Mchundo

Bado tuna hitaji mafundi zaidi na zaidi wakiwepo fundi nguo na fundi cherehani...

Asanten
SView attachment 3059635
 
Mimi ufundi wangu ni huu 👇👇 , kama Kuna MTU, Taasisi, organization wanamahitaji ya short 3D animations .
Wana weza nicheki 0712 038 146
 
Back
Top Bottom