Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Magreth wa Kondoa ambae uliolewa mkoani Shinyanga Kwa ndoa kabisa alinipenda akawa demu wangu nisijue historia yake, mdada mashallah kumbe Witch hatari, bana eeh kumbe amenilenga nimuoe kaelewa shoo, mi nataka shoo za mpito. Nikapata ghetto jirani na maskani yake, akataka atambulike pale ninapokaa kama demu wangu.
Jirani zangu ni pamoja na ndugu Kwa kabila wa Magreth wote Kondoa moja.(Mkaka-Ticha )
Ikatokea workmate wa jirani(Ticha) anaoa, nikapewa news nikaahidi ntachanga Magreth akapata news, akawaka kwanini sijatoa ahadi ya couple nikamjibu sina couple.
Tukajibizana vibaya na Magreth mkondoa., Akanambia soon atanifanya mbaya sana. Haikupita siku mbili nikapata bonge la ajali hadi sasa kilema wa kiungo mpaka leo.
Magreth hajachoka ameendeleza uchawi last week nimemdhibiti mbwa yule sasa acha wakamzike.
Wabaya wapo nimemtia adabu koboko yule nilimtilia chungu Cha uji kichwani kaugua uso ndio basi tena.
Kondoa nuksi demu akisema anakuroga wahi au jisalimishe omba msamaha.
Majuto ni mjukuu jeuri iliniponza ila sio mbaya nimemdhibiti zamu yako Magreth.
Vipi yule Bonge Nurse wa st. T nyuma ya seminary school Bado yupo, najua uko Arusha bomu limekupata.
Uteseke mbaka kaburini.
Some cute Ladies can be extra witch lesson learned.