Tujuane tuliowahi kurogwa na wapenzi wetu na tukajua baada ya kumulika

Tujuane tuliowahi kurogwa na wapenzi wetu na tukajua baada ya kumulika

Hebu ngoja tusikilize na waafrika
 

Attachments

  • Screenshot_20221026-074940_Twitter Lite.jpg
    Screenshot_20221026-074940_Twitter Lite.jpg
    32.1 KB · Views: 20
Halafu ni bonge la demu pisi haswaa tako kama lote shepu hadi niliona mbeleni ntaibiwa tu. Kumbe yeye kadata anataka niwe mume huku hajapewa talaka ndoa yake ya Shinyanga.
Kondoa noma wengi wametelekeza ndoa baada ya kufika irangi tanga wakasome
 
Back
Top Bottom