Mabatini
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
Capripoint karibu na victoria hotel
Mkuu unaishi hotelini??Vizano Hotel
Isamilo.......