Preta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu
Mabatini
Mie Butimba
mie nansio
Butimba
Nyegezi corner ndo kitaa changu
kwa kuanzia na mimi, napatikana Malimbe, Nyegezi.
Uzunguni
Nipo dear.......ndio nimehamia juzi juzi......nitawatafuta........
Uzunguni
Mkuu unaishi hotelini??