Tujuane wana JF wa Mwanza

Uzunguni? Hebu fafanunua, mwanza hatuna majina ya uzunguni wala uhindini au uharabuni, huku ni majina halisi kama butimba, buswelu, nyamhongolo, pasiansi, nyamanoro n.k
Wakwetu vipi wewe mgeni MZA... na hapo Mwanza south, John Show, White Sisters,Mwanza Club,Jamatini, Bismark, BaraArabu, Kwa Mganda,U-turn,Mwaloni ??
au vipi .....

 
Kayenze Ndogo hapa Igombe...

Kama unataka vitu fresh, dagaa, furu just tupiamo ka PM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…