strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Lumala karibu na Tulele English Medium
Oya kumbe jirani yangu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumala karibu na Tulele English Medium
Isamilo.......
Siiamini... Wewe wa Arusha nakuonaga kila siku!!
Wakwetu vipi wewe mgeni MZA... na hapo Mwanza south, John Show, White Sisters,Mwanza Club,Jamatini, Bismark, BaraArabu, Kwa Mganda,U-turn,Mwaloni ??Uzunguni? Hebu fafanunua, mwanza hatuna majina ya uzunguni wala uhindini au uharabuni, huku ni majina halisi kama butimba, buswelu, nyamhongolo, pasiansi, nyamanoro n.k
Duuh !! JF !!Unanionaga wapi........?
Tuonane kamanda strong ruler..
Me too Butimba tufahamiane wapendwa!Butimba
Vizano Hotel