kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 613
- 791
Mshambuliaji mwenye asili ya Guinea kinda Lamine Diaby-Fadiga anayekipiga na klabu ya Nice (Ufaransa) anatuhumiwa kuiba saa ya mchezaji mwenzake nyota aliyesajiliwa kutoka Ajax, Kasper Dolberg.
Saa hiyo inathamani ya £62,000 (zaidi ya shilingi million 175 za Tanzania), Diaby amekiri kuchukua saa hiyo iliyokuwa imeachwa na mchezaji mwezake kwenye chumba cha kubadilishia nguo (dressing room).
•
Diaby ameshaomba radhi kwa mchezaji mwenzake ambaye alimuibia saa pamoja na kocha wa Nice Patrick Viera.
Jambo hili huenda likamchafua sana Lamine Diaby-Fadiga mbele ya safari kwa kupita na saa ya mchezaji mwenzake.