otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 230
Tujuane mikoa tunayoishi.....ukipata mwenzako msalimie[emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chako ni ChakoTujuane mikoa tunayoishi.....ukipata mwenzako msalimie[emoji12]
Broo unaishi kigoma kwani we ni mgebuka?Manyovu Kigoma
Karibu sumbawangaWana jf wote tunaishi Dar,sema tutaje mitaa tu,
Buguruni kwa mnyamani, karibuni
Toka unikimbie huku nyumbani songwe mambo hayaendi kabisa tafadhali rudiWana jf wote tunaishi Dar,sema tutaje mitaa tu,
Buguruni kwa mnyamani, karibuni
Mjeda wangu,ngoja nije[emoji1435]Toka unikimbie huku nyumbani songwe mambo hayaendi kabisa tafadhali rudi
Wachawi wengiKaribu sumbawanga
Nilijikuta navuta hewa nikiwa hapaBroo unaishi kigoma kwani we ni mgebuka?