D Daniel Wanga Member Joined Oct 26, 2015 Posts 38 Reaction score 3 Aug 16, 2017 #1 Samahanini naomba kuuliza. ikitokea maeneo ya mgodi yamechafuliwa na uchafu wa kutoka mgodini kama vile vumbi au kemikali na hakuna madhara yaliyothibitika, je ni hatua zipi watu au serikali inaweza chukua kuzui uchafuzi huo?
Samahanini naomba kuuliza. ikitokea maeneo ya mgodi yamechafuliwa na uchafu wa kutoka mgodini kama vile vumbi au kemikali na hakuna madhara yaliyothibitika, je ni hatua zipi watu au serikali inaweza chukua kuzui uchafuzi huo?