Daniel Wanga
Member
- Oct 26, 2015
- 38
- 3
Samahanini naomba kuuliza. ikitokea maeneo ya mgodi yamechafuliwa na uchafu wa kutoka mgodini kama vile vumbi au kemikali na hakuna madhara yaliyothibitika, je ni hatua zipi watu au serikali inaweza chukua kuzui uchafuzi huo?