believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
Kuna maeneo ambayo sijafika lakini i have strong feeling kuwa kuna fursa nyingi za kijasiriamali,hivyo basi naomba kujuzwa juu ya fursa zilizopo ktk maeneo yafuatayo
1.Ifakara
2.Lushoto
3.Kilindi
4.Ruaha
5.Mvomero
Kwa mfano mimi nimefika dodoma,dodoma kuna sehemu inaitwa kibaigwa,hapa kuna soko kubwa la mahindi,unaweza kununua kuna mahindi ukahifadhi ktk godowns zipo nyingi baada miezi mitatu toka july bei inapanda almost mara mbili,au unaweza nunua mahindi na ukaenda kusaga na kufanya packaging ya unga popote pale nchini,usafiri upo wa uhakika nk.
So kwa anaeyajua vizuri maeneo matano tajwa hapo juu naomba msaada wa taarifa za fursa zilizopo wadau.