Tujue za hapo ulipo

Tujue za hapo ulipo

believer

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
639
Reaction score
216
Kuna maeneo ambayo sijafika lakini i have strong feeling kuwa kuna fursa nyingi za kijasiriamali,hivyo basi naomba kujuzwa juu ya fursa zilizopo ktk maeneo yafuatayo
1.Ifakara
2.Lushoto
3.Kilindi
4.Ruaha
5.Mvomero
Kwa mfano mimi nimefika dodoma,dodoma kuna sehemu inaitwa kibaigwa,hapa kuna soko kubwa la mahindi,unaweza kununua kuna mahindi ukahifadhi ktk godowns zipo nyingi baada miezi mitatu toka july bei inapanda almost mara mbili,au unaweza nunua mahindi na ukaenda kusaga na kufanya packaging ya unga popote pale nchini,usafiri upo wa uhakika nk.
So kwa anaeyajua vizuri maeneo matano tajwa hapo juu naomba msaada wa taarifa za fursa zilizopo wadau.
 
Kilindi na Mvomero kuna ardhi ya kutosha, ila ukienda kununua usiwapore ardhi kubwa wenyeji maana wengine hawajui wanagawa tuuuuuuuuuuuuu
 
Lushoto ardhi ya kutosha ipo hasa lushoto magharibi,maji na hali ya hewa inayosapoti matundatunda,mbogamboga,viaz, maharage,mahindi,na mpunga kwa baadhi ya maeneo..miundombinu inakfkisha dar WELCOME LUSHOTO
 
Mkuu maeneo yanapatikana kwa bei zipi maeneo hayo,na possibly ukubwa wa eneo.
 
Kilindi na Mvomero kuna ardhi ya kutosha, ila ukienda kununua usiwapore ardhi kubwa wenyeji maana wengine hawajui wanagawa tuuuuuuuuuuuuu

kilindi kununua km ekari moja shs ngap mkuu na kuna uwezekano kupata ekari 50+ eneo moja,kilimo cha nini kinakubali mkuu.
 
Mkuu maeneo yanapatikana kwa bei zipi maeneo hayo,na possibly ukubwa wa eneo.

Mkuu kuna option mbili kama sio tatu,kununua eneo obvious itakua ghali ila wengi hua wanakodisha mashamba(vidau kwa kisambaa) kwa kipindi flani option ya tatu ni kuamua kununua mazao kutoka kwa wakulima kwa bei nafuu...hapa nazungumzia Maeneo ya Lukozi,mkuzi,mlola,mlalo,mtae,soni,bumbuli na maeneo mengine...endelea kuniuliza
 
Back
Top Bottom