Tujukumbushe uongo mbalimbali aliowahi kusema Mange Kimambi

Tujukumbushe uongo mbalimbali aliowahi kusema Mange Kimambi

Sasa hapa mjinga nani!?? Thibitisha ww uongo wake kwa kuweka ukweli usio na chembe ya shaka. Sisi wengine bado tunaamini hivyo Ivan hajafa na Domo hana nyumba S.A. Waongo ni km akina Makonda.

Aliahidi kuwamaliza ombaomba jijini lkn mpaka leo wapo.

Aliahidi kuhamisha Show room zote za magari mjini kwenda eneo maalum nalo kimya mpaka leo.
 
Nilitegemea hiyo post yako ungeweka na udhibitisho kama alichosema Ni uongo na ukweli uko hivi. Ila na wewe Inaonekana kuwa muongo na muoga kuliko Mange.
Yeye aliweka uthibitisho? Umekuja kubwabwaja haya hide ur id
 
Dada Mange huwezi amini sasa hivi ni saa 8 kamili mchana, hii Serikali sijui inatupeleka wapi.
Plz hide my ID[emoji23][emoji23]
Da Mange naomba unichambie Okwi ananiudhi sana na this time ndio anazidi na masifa yake and you know what??? sio Mtanzania....Hide my ID plzzz.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Da Mange naomba unichambie Okwi ananiudhi sana na this time ndio anazidi na masifa yake and you know what??? sio Mtanzania....Hide my ID plzzz.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Alisema Lemutuziii ana kibamia... sio kweli tuliona kabisa kwa macho yetu hakukuwa na kibamia ila kadude kadogooooooo kama nukta. 😎😎

Eti Wema atarudi sisiem weeeeee haitatokea.

Eti albadili ya shehe haitamkuta...mbona keshakufa.

Nani kasema wale wadau ni kweli.... hajui kama Mange huwa anabuni tu na kutuma picha za kuokota tuuu za wale waliopewa talaka na kukataliwa.😳 tena ana uwezo wa kujua kila kitu bila kutumiwa na mdau yeyote hata ile issue ya passport alibuni tu. Kwa kweli yule dada ni muongolism

ngoja nikumbuke uongo mwingine.....

Ila alinifurahisha na ile clip ya shoziniga.... I wili bi baki
 
Mnaomfahm au mawasiliano yake mnayo mwambieni ajitokeze jf aje kujibu tuhuma zinazomkabili
 
Hivi huyo Mange Kimambi ndio nani...[emoji45] [emoji45]
 
nilisoma hapa nikaona kile kichwa hakina nut zote kukesha kote huko instagram na kusoma anayotumiwa na watu wa hide my id angeutumia hata kujifunza fx angekuwa ana milk $$
upload_2018-2-12_15-26-9.png
 
Eeeeeh
Mange ana threads juu yake nyingi tu humu JF za miaka na miaka.. burudani sana

Hata Matola aliwahi kufungua thread akidai anamtetea mteja wake wa USA.. ambaye ni mke wa rafiki yake kutokana na kurumbana na Mangenita.. alimdisi weee ila siku hizi ni mtetezi wake kwa top 5 humu.. kisa siasa.. eeeeh CDM ya Mange anawafuasi wengine humu mshangao kwetu.. burudani tu JF

JF burudani haswaaaa eeeh
Enhee wahenga wote haya twayajua! Hivi matola alikuwa anamtetea linda bedui enhe. Nimewamiss sana wambea wa enzi zile.
 
Tujikumbushe uongo aliowahi kuusema mzee wa familia a.k.a JP.
- Niliingia madarakani sukari ikiuzwa tshs 5,000/=
- Tunajenga reli kwa hela ya ndani bila kutegemea mkopo
- Naomba vyombo vya dola vihakikishe vinawakamata wote waliohusika kumshambulia TL
- Huwezi kuharibu hapa nikakuhamisha kukupeleka pengine, nakufukuza moja kwa moja

Ongezeni na mengine baadae tulinganishe kati yake na Mange ni yupi yupo kwenye vyanzo vizuri vya habari

Siwezi kuteua mpinzani kwenye serikali yangu.
 
Back
Top Bottom