Mi simo wala sicoment kitu hapa, sitaki shida na mange mimi1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa
2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond
3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake
4. Lowassa ana ugonjwa wa kujiharishia na kupoteza kumbukumbu
Tena siku hizi ameanzisha mchezo anajifanya mdau namba 1 mara 2 kumbe ni yeye anajitungia kama zamani alivyokuwa anaandika msg toka akaunt yake moja kwenda nyingine anascreenshot huku akijifanya kaandikiwa na wadau kumbe ni yeye mwenyew huku akijifanya ku hide id
Na nyie ongezeeni uongo wa huyu bi mdada
haswaPyscopath,she needs a physcologist or pysctric
Huyo dada ni kichefu chefu cha taifa hana anachokijua zaidi ya blah blah tu.1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa
2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond
3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake
4. Lowassa ana ugonjwa wa kujiharishia na kupoteza kumbukumbu
Tena siku hizi ameanzisha mchezo anajifanya mdau namba 1 mara 2 kumbe ni yeye anajitungia kama zamani alivyokuwa anaandika msg toka akaunt yake moja kwenda nyingine anascreenshot huku akijifanya kaandikiwa na wadau kumbe ni yeye mwenyew huku akijifanya ku hide id
Na nyie ongezeeni uongo wa huyu bi mdada
Hahahahhahahhahhaahh kojoaaàaaaKuuuumbeee....we ngoja akusikie akuanike na wewee mambo yako..."nakojooooaaa'
Huyu dada ni wa kupuuzwa tu ila nashukuru utumbo wake huwa anawadanganya watoto wenzie kule fb na insta.Alisema Kubenea na Mnyika could join Fisiem on Wednessday nashangaa mpaka leo jumatano haijafika au kwakuwa kila week ina jumatano.
Akafie mbele.
Amewazidi wengi akili ana akili kuzidi mawaziri na viongozi wengi kwa hyo chuki juu yake haiwezi kukosekana. Halafu kwani ni yy wa kwanza kusema uongo?? Mtoa mada hujawahi kusema uongo hata siku moja? Ni mangapi ya ukweli anasema na mengine kufanyiwa kazi?? Hebu acheni chuki. By the way labda kuna source ambazo hutoa taarifa kwake za uongo ndo maana siku hizi anasema mpk ajiridhishe ndo apost kitu. Yani mwanaume akizidiwa akili na mdada anakua na chuki chuki tuuMkuu,
Mtarukaruka sana,ila ana geunine concern na this government.
Hua anatetea the most vulnerable ones...thats the bottomline!
Give credit when the credit is due!
Ukweli ni kwamba Ivan Ssemwanga alikufa na maelfu ya watu wameshiriki mazishi, Lowassa hana ugonjwa huo anaomsingizia, Mnyika na mwenzie hawajahamia ccm hadi leo hii licha ya kwamba aliwaaminisha wajing.a kule fb kwamba hadi jumatano tarehe fulan mwezi fulani watakuwa wamehamia ccm lakini wapi n.k n.k.Nilitegemea hiyo post yako ungeweka na udhibitisho kama alichosema Ni uongo na ukweli uko hivi. Ila na wewe Inaonekana kuwa muongo na muoga kuliko Mange.
Mteja mwingine wa Mange kimavi huyu.Hivi GT unakaa na kumwamini huyo shilawadu?Mange ni Google wakati wewe ni shilawadu ukome
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Da Mange huku kwetu mvua haijanyesha wiki ya pili sasa, hii serikali sijui inatupeleka wapi
Hd my I'd please [emoji3][emoji38] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inakusaidia nini hii mkuu?1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa
2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond
3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake
4. Lowassa ana ugonjwa wa kujiharishia na kupoteza kumbukumbu
Tena siku hizi ameanzisha mchezo anajifanya mdau namba 1 mara 2 kumbe ni yeye anajitungia kama zamani alivyokuwa anaandika msg toka akaunt yake moja kwenda nyingine anascreenshot huku akijifanya kaandikiwa na wadau kumbe ni yeye mwenyew huku akijifanya ku hide id
Na nyie ongezeeni uongo wa huyu bi mdada
Makonda aliweka deadline ya kauli zake?Ni mpango wa muda mrefu huwezi kufanya kwa siku moja lazima utoe tamko kwanza kisha utekelezaji wake unafata taratibu.Sasa hapa mjinga nani!?? Thibitisha ww uongo wake kwa kuweka ukweli usio na chembe ya shaka. Sisi wengine bado tunaamini hivyo Ivan hajafa na Domo hana nyumba S.A. Waongo ni km akina Makonda.
Aliahidi kuwamaliza ombaomba jijini lkn mpaka leo wapo.
Aliahidi kuhamisha Show room zote za magari mjini kwenda eneo maalum nalo kimya mpaka leo.
Kojo lenyewe zito haswaaaaaa......huhuhuuuuuHahahahhahahhahhaahh kojoaaàaaa
Kojo lenyewe zito haswaaaaaa......huhuhuuuuuHahahahhahahhahhaahh kojoaaàaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Leo mutuz ana kiba100