Nitatoa milioni 50 kila kijijiTujikumbushe uongo aliowahi kuusema mzee wa familia a.k.a JP.
- Niliingia madarakani sukari ikiuzwa tshs 5,000/=
- Tunajenga reli kwa hela ya ndani bila kutegemea mkopo
- Naomba vyombo vya dola vihakikishe vinawakamata wote waliohusika kumshambulia TL
- Huwezi kuharibu hapa nikakuhamisha kukupeleka pengine, nakufukuza moja kwa moja
Ongezeni na mengine baadae tulinganishe kati yake na Mange ni yupi yupo kwenye vyanzo vizuri vya habari
Rais wa Kuwait ni Saddam Hussein, sukari kilo sh5000 ,bora tahira Mange kuliko huyu CHOKOLile ni tahira linachopewa mbio kwenda kukipost nasikitishwa na sana na msomi kumtegemea mange kuwa ni mtoa taarifa zenye uhakika
Mwanaharakati ki vipi na udictator? Usipokubaliana na yeye anakutusi. Kisha hapendi anoawaona wako chini yake ki class wakimshinda kimaisha. Juzi alisema akipewa ubalozi wa amerika atarudi CCM. Anatafuta meaning in her useless existence.Mange kimambi sio mwanaharakati .. ila yeye mwanachuki... anafanya vitu kwa kuchukia kitu fulani au kumchukia mtu fulani... hatuwezi kumuheshima kama mwanaharakati...
Here comes another msukule wa da mangeNilitegemea hiyo post yako ungeweka na udhibitisho kama alichosema Ni uongo na ukweli uko hivi. Ila na wewe Inaonekana kuwa muongo na muoga kuliko Mange.
..... na kinyume chake......Mtu anemdiss mange hajielewi kwa kweli ni wa kumpima mkojo
Hawezi kuja huku kwenye open forums kama hii,Mnaomfahm au mawasiliano yake mnayo mwambieni ajitokeze jf aje kujibu tuhuma zinazomkabili
unaelewa maana ya could???Alisema Kubenea na Mnyika could join Fisiem on Wednessday nashangaa mpaka leo jumatano haijafika au kwakuwa kila week ina jumatano.
Akafie mbele.
Mmmh mbona kama unamsema baba la baba mwenyewe , manaake kuna mifano inamlenga kwa asilimia mia, mtu asieshaurika, aliejigundua mwenyewe kuwa anafaa na akajipitisha mwenyewe mzee wa kufuta Uhuru wa mawazo kinzani[emoji1] [emoji1]Niliamini maneno ya Dr mmoja aliniambia binadamu wote wanamatatizo ya akiri sema tofauti ipo kwenye kiwango cha confusion na maranyingi huonekana katika situation flan flan, kila mtu ana situation ya ambayo dalili zinaweza kuonyesha. Mf mwingine anakua mwehu akifulia wkt mwingine anawehuka akikamata pesa, mwingine anaaribikiwa na ufahamu akipata mmpenz wakati mwingine akiachika anakuwa km
mwendawazimu. So haya matatizo ya kisaikolojia yanaathiri sana brain, vitu km umalaya, ulevi, ugomvi, umbeya, wizi, utukutu na uongo wkt mwingine yanatokana na tatizo la brain kiasi akipata mtaalam wa saikolojia anabadirika na huwezi amini. Mf. Mwanamke km haridhiki kimapenz kwa mumewe, humjengea hasira na kuwa mkali na km ni bosi ofcn mtapata shida, kipindi cha mwambo km ni waajiriwa mwanaume anakua mkali, na mwisho mtu mwenye msongo wa mawazo, unaweza muuliza kitu vzr lkn yeye akakutukana. So watu wengi wapo km machiz fresh, wanategemea na mwandamo wa mwezi na ni watu wachache sn ambao utawakuta wapo normal wkt wote.
Kama huna cha kuchangia wakati mwingine Ni vyema kuficha Upuuzi wako.Here comes another msukule wa da mange
Sasa mpuuzi ni nani kati ya wewe "hide my id" na mimiKama huna cha kuchangia wakati mwingine Ni vyema kuficha Upuuzi wako.
Case closed.Sasa mpuuzi ni nani kati ya wewe "hide my id" na mimi